CELEBRITY | Madee don't want all of these songs being played on TV


Madee Ally has denied for his songs that he has shot on South African land to continue playing on television channels believing that continuing to play those songs is to promoting the land of people who have been rejecting their fellow Africans.

Madee explained more than two reasons for him to do that, by referring to the country ongoing violence against foreign nationals espesially africans and also he has done that so in honor of the late Zimbabwe President Mubage who died on Monday night.


Madee added that he had decided to take down his videos on his YouTube channel and said he was not ready to continue promoting South Africa through his music.




Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe kwenye kituo chochote cha habari na zaidi ikiwa ni ni TV, Kwa sababu TV ndio kitu kinachoonyesha mandhari ya nchi tajwa ambayo ni SA, Binafsi nimechukua hatua kwanza kwa kuufuta hata kwenye channel yangu ya Youtube ambako ulikua unapatikana. . . . Binafsi wakati natoka Manzese kwenda kushoot SA plan ilikua nikutangaza vivutio vya Africa kwa ujumla, Kwa kuwa imani inaniambia sisi Waafrika ni Wamoja. . . Nimefikia hatua hii kwa sababu kuu mbili.. (1)kile kinachoendelea kwasasa kila mtu anajua namna Wasouth Africa wanachowafanyia Waafrika wenzetu, 2) Ni kumuenzi Mzee wetu MUGABE ambae wengi wetu humu tunajua historia yake ya kupambania mtu mweusi (Mwafrika)na miongoni mwa watu waliokua wakipinga utawala wa watu weupe alikua anapambana kuhakikisha Waafrika tunajikomboa. . . Sitakua sawa kuendelea kuitangaza SA kupitia muziki wangu, ZIMA KWAITO 🎤❎ R.I.P ROBY
A post shared by Madee (@madeeali) on
Previous
Next Post »